Serah
Anajulikana pia kama: Sarah
Mistari inayomtaja Serah
Wana wa Asheri ni: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Wana wa Beria ni: Heberi na Malkieli.
(Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera.)
Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera.