Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Angels: Worship God and Christ

3 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Worship God and Christ

  1. Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina,

  2. ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi,

  3. na kila ulimi ukiri ya kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.