Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Angels: Execute the purposes of God

4 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Execute the purposes of God

  1. Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika.

  2. “Kama vile magugu yangʼolewavyo na kuchomwa motoni, ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia.

  3. Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka Ufalme wake kila kitu kinachosababisha dhambi na watenda maovu wote.

  4. Nao watawatupa katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.