Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Adjudication at Law

6 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza.

  2. Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana.

  3. usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha?

  4. Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,

  5. ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka.

  6. “Patana na mshtaki wako upesi wakati uwapo njiani pamoja naye kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa askari, nawe ukatupwa gerezani.