Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Abihu: Son of Aaron

2 mistari · 5 vipengele

Tafuta "Abihu"

Mistari kuhusu Son of Aaron

  1. Aroni akamwoa Elisheba binti wa Aminadabu ndugu yake Nashoni, naye akamzalia Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.

  2. Majina ya wana wa Aroni yalikuwa: Nadabu mzaliwa wa kwanza na Abihu, Eleazari na Ithamari.