Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Abihu: Died childless

1 mstari · 5 vipengele

Tafuta "Abihu"

Mistari kuhusu Died childless

  1. Hata hivyo Nadabu na Abihu walikufa mbele za Bwana walipotoa sadaka kwa moto usioruhusiwa mbele zake katika Jangwa la Sinai. Hawakuwa na wana; kwa hiyo Eleazari na Ithamari walihudumu peke yao kama makuhani wakati wote wa maisha ya Aroni baba yao.