Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Aaron: Stays the plague by priestly intercession

3 mistari · 27 vipengele

Mistari kuhusu Stays the plague by priestly intercession

  1. Kisha Mose akamwambia Aroni, “Chukua chetezo chako na uweke uvumba ndani yake, pamoja na moto kutoka madhabahuni, nawe uende haraka kwenye kusanyiko ili kufanya upatanisho kwa ajili yao. Ghadhabu imekuja kutoka kwa Bwana, na tauni imeanza.”

  2. Hivyo Aroni akafanya kama Mose alivyosema, akakimbilia katikati ya kusanyiko. Tauni ilikuwa tayari imeanza miongoni mwa watu, lakini Aroni akafukiza uvumba na kufanya upatanisho kwa ajili yao.

  3. Aroni akasimama kati ya waliokuwa hai na waliokufa, nayo tauni ikakoma.