Sirion
Anajulikana pia kama: field
33.4100, 35.8500 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Sirion
(Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri.)
Hufanya Lebanoni irukaruke kama ndama, Sirioni urukaruke kama mwana nyati.
Je, barafu ya Lebanoni iliwahi kutoweka kwenye miteremko yake ya mawe wakati wowote? Je, maji yake baridi yatokayo katika vyanzo vilivyo mbali yaliwahi kukoma kutiririka wakati wowote?