Skip to content

Lamech

4 mistari · 7 wanafamilia

Mistari inayomtaja Lamech

  1. Enoki akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli, Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, na Methushaeli akamzaa Lameki.

  2. Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila.

  3. Lameki akawaambia wake zake, “Ada na Sila nisikilizeni mimi; wake wa Lameki sikieni maneno yangu. Nimemuua mtu kwa kunijeruhi, kijana mdogo kwa kuniumiza.

  4. Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.”