Rukia maudhui

Zillah

3 mistari · 3 wanafamilia

Mistari inayomtaja Zillah

  1. Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila.

  2. Pia Sila alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Tubali-Kaini ambaye alifua vifaa vya aina mbalimbali vya shaba na chuma. Naama alikuwa dada wa Tubali-Kaini.

  3. Lameki akawaambia wake zake, “Ada na Sila nisikilizeni mimi; wake wa Lameki sikieni maneno yangu. Nimemuua mtu kwa kunijeruhi, kijana mdogo kwa kuniumiza.