Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Enoch

2 mistari · 2 vipengele

Tafuta "Enoch"

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kaini akakutana kimwili na mkewe, naye akapata mimba na akamzaa Enoki. Wakati huo Kaini alikuwa anajenga mji, akauita Enoki jina la mtoto wake.

  2. Enoki akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli, Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, na Methushaeli akamzaa Lameki.