Rukia maudhui

Jair

4 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Jair

  1. Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi.

  2. Yairi, mzao wa kabila la Manase, alichukua eneo lote la nchi ya Argobu hadi kufikia mpaka wa Wageshuri na Wamaaka, ukaitwa kwa jina lake; kwa hiyo mpaka leo hii Bashani inaitwa Hawoth-Yairi.)

  3. Ben-Geberi: katika Ramoth-Gileadi (makao ya Yairi mwana wa Manase katika Gileadi ilikuwa miji yake, pamoja na wilaya ya Argobu katika Bashani na miji yake mikubwa sitini yenye kuzungukwa na kuta zenye makomeo ya shaba);

  4. Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.