Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Zoan: Wise men from, were counselors of Pharaoh

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Wise men from, were counselors of Pharaoh

  1. Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. Unawezaje kumwambia Farao, “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, mwanafunzi wa wafalme wa zamani”?

  2. Maafisa wa Soani wamekuwa wapumbavu, viongozi wa Memfisi wamedanganyika, walio mawe ya pembe ya taifa lake wameipotosha Misri.