Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Zaccur: 4. Son of Asaph

3 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu 4. Son of Asaph

  1. Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa: Zakuri, Yosefu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme.

  2. Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, 12

  3. pamoja na baadhi ya makuhani wenye tarumbeta, na pia walikuwa na Zekaria mwana wa Yonathani, mwana wa Shemaya, mwana wa Matania, mwana wa Mikaya, mwana wa Zakuri, mwana wa Asafu,