Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Vulture

4 mistari · 3 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. mwewe mwekundu, aina zote za mwewe mweusi,

  2. kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote,

  3. Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, wala hakuna jicho la mwewe lililoiona.

  4. Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai, atayaangua na kutunza makinda yake chini ya uvuli wa mabawa yake; pia huko vipanga watakusanyika, kila mmoja na mwenzi wake.