Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Verdict

7 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”

  2. Pilato alipoona kwamba hawezi kufanya lolote, lakini badala yake ghasia zilikuwa zinaanza, akachukua maji, akanawa mikono yake mbele ya ule umati wa watu, akasema, “Sina hatia juu ya damu ya mtu huyu, hili ni jukumu lenu!”

  3. Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!”

  4. Basi akawafungulia Baraba. Lakini baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe.

  5. Pilato, akitaka kuuridhisha ule umati wa watu, akawafungulia Baraba. Naye baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe.

  6. Kwa hiyo Pilato akatoa hukumu kwamba madai yao yatimizwe.

  7. Ndipo Pilato akamkabidhi Yesu kwao ili wamsulubishe. Kwa hiyo askari wakamchukua Yesu.