Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Valleys: Fountains and springs

2 mistari · 58 vipengele

Tafuta "Valleys"

Mistari kuhusu Fountains and springs

  1. Kwa kuwa Bwana Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri, nchi yenye vijito na mabwawa ya maji, yenye chemchemi zinazotiririka mabondeni na katika vilima;

  2. Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, nazo chemchemi ndani ya mabonde. Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji.