Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Translation: Of Enoch

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Of Enoch

  1. Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.

  2. Kwa imani Enoki alitwaliwa kutoka maisha haya, kiasi kwamba hakuonja mauti. Hakuonekana, kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. Kwa kuwa kabla hajatwaliwa alikuwa ameshuhudiwa kuwa ni mtu aliyempendeza Mungu.