Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of the Wicked: Children of Belial

2 mistari · 68 vipengele

Mistari kuhusu Children of Belial

  1. kuna wanaume waovu wameinuka miongoni mwenu na wamewapotosha watu wa mji, wakisema, “Twendeni tukaabudu miungu mingine” (miungu ambayo hamkuifahamu),

  2. Baadhi ya watu wasiofaa kitu, wabaya kabisa walimkusanyikia na kumpinga Rehoboamu mwana wa Solomoni alipokuwa kijana mdogo asiyekuwa na uamuzi, asiye na nguvu za kuweza kupingana nao.