Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Timna

4 mistari · 3 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, ambaye alimzalia Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau.

  2. Wana wa Lotani walikuwa: Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani.

  3. Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.

  4. Wana wa Lotani walikuwa wawili: Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna.