Mistari ya Biblia kuhusu Time: The evil time
Mistari kuhusu The evil time
Siku za maafa hawatanyauka, siku za njaa watafurahia wingi wa vitu.
Zaidi ya hayo, hakuna mwanadamu ajuaye wakati saa yake itakapokuja: Kama vile samaki wavuliwavyo katika wavu mkatili, au ndege wanaswavyo kwenye mtego, vivyo hivyo wanadamu hunaswa na nyakati mbaya zinazowaangukia bila kutazamia.