Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Timbrel: Used in religious service

6 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Used in religious service

  1. Daudi na nyumba yote ya Israeli walikuwa wanacheza mbele za Bwana kwa nguvu zao zote, kwa nyimbo, vinubi, zeze, matari, kayamba na matoazi.

  2. Daudi pamoja na Waisraeli wote walikuwa wanasifu kwa nguvu zao zote mbele za Mungu, kwa nyimbo na kwa vinubi, zeze, matari, matoazi na tarumbeta.

  3. Mbele wako waimbaji, baada yao wapiga vinanda, pamoja nao wako wanawali wakipiga matari.

  4. Anzeni wimbo, pigeni matari, pigeni kinubi na zeze kwa sauti nzuri.

  5. Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi.

  6. msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,