Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Thistle: A noxious plant

3 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu A noxious plant

  1. Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako, nawe utakula mimea ya shambani.

  2. basi miiba na iote badala ya ngano, na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa maneno ya Ayubu.

  3. Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu pataharibiwa: ndiyo dhambi ya Israeli. Miiba na mibaruti itaota na kufunika madhabahu zao. Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” na vilima, “Tuangukieni!”