Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The, or Immediate Government By God Theocracy: Appointing civil officers

3 mistari · 15 vipengele

Mistari kuhusu Appointing civil officers

  1. Basi, sasa nenda. Ninakutuma kwa Farao ili kuwatoa watu wangu Waisraeli kutoka Misri.”

  2. Kwa hiyo Bwana akamwambia Mose, “Mchukue Yoshua mwana wa Nuni, mtu ambaye Roho yuko ndani yake, uweke mkono juu yake.

  3. Mpe sehemu ya mamlaka yako ili jumuiya yote ya Waisraeli ipate kumtii.