Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The New Birth: The word of God

2 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu The word of God

  1. Kwa mapenzi yake mwenyewe alituzaa kwa neno la kweli, kusudi tuwe kama mazao ya kwanza katika viumbe vyake vyote.

  2. Kwa maana mmezaliwa upya, si kwa mbegu ile iharibikayo, bali kwa ile isiyoharibika, kupitia kwa neno la Mungu lililo hai na linalodumu milele.