Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Loving-Kindness of God: Is through Christ

3 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Is through Christ

  1. Lakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa,

  2. alituokoa, si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyotenda, bali kwa sababu ya rehema zake. Alituokoa kwa kutuosha kwa kuzaliwa mara ya pili na kwa kufanywa wapya kwa njia ya Roho Mtakatifu,

  3. ambaye Mungu alitumiminia kwa wingi kwa njia ya Yesu Kristo Mwokozi wetu,