Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Loving-Kindness of God

3 mistari · 28 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Lakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa,

  2. alituokoa, si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyotenda, bali kwa sababu ya rehema zake. Alituokoa kwa kutuosha kwa kuzaliwa mara ya pili na kwa kufanywa wapya kwa njia ya Roho Mtakatifu,

  3. ambaye Mungu alitumiminia kwa wingi kwa njia ya Yesu Kristo Mwokozi wetu,