Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Love of Christ

3 mistari · 27 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kuokoa kile kilichopotea.]

  2. “Mwaonaje? Ikiwa mtu ana kondoo mia moja, na mmoja wao akapotea, je, hatawaacha wale tisini na tisa vilimani na kwenda kumtafuta huyo mmoja aliyepotea?

  3. Naye akishampata, amin, nawaambia, hufurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko wale tisini na tisa ambao hawakupotea.