Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Humility of Christ: Saints should imitate

4 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu Saints should imitate

  1. Kuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu:

  2. Yeye, ingawa alikuwa na asili ya Mungu hasa, hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa kitu cha kushikilia,

  3. bali alijifanya si kitu, akachukua hali hasa na mtumwa, naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu.

  4. Naye akiwa na umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza, akatii hata mauti: naam, mauti ya msalaba!