Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The High Priest: Office of, made annual by the Romans

3 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu Office of, made annual by the Romans

  1. Mmoja wao aliyeitwa Kayafa, ambaye alikuwa kuhani mkuu mwaka huo, akasema, “Ninyi hamjui kitu chochote!

  2. Hamjui kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote liangamie?”

  3. Hakusema haya kutokana na mawazo yake mwenyewe bali kama kuhani mkuu mwaka huo, alitabiri kuwa Yesu angelikufa kwa ajili ya taifa la Wayahudi,