Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Teman: 1. Son of Eliphaz

5 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu 1. Son of Eliphaz

  1. Wana wa Elifazi ni: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi.

  2. Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: Temani, Omari, Sefo, Kenazi,

  3. Kenazi, Temani, Mibsari,

  4. Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.

  5. Kenazi, Temani, Mibsari,