Mistari ya Biblia kuhusu Tax: World-wide, levied by Caesar 3 mistari · 10 vipengele Tafuta "Tax" Yote 51 Paid in provisions 22 Poll 9 Jesus pays 4 Personal 4 Land 3 World-wide, levied by Caesar 3 Land mortgaged for 2 Paid in grain 2 Priests exempted from 2 Resisted by Israelites 2 Mistari kuhusu World-wide, levied by Caesar Luka 2:1Siku zile Kaisari Augusto alitoa amri kwamba watu wote waandikishwe katika ulimwengu wa Kirumi.Luka 2:2(Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyofanyika wakati Krenio alikuwa mtawala wa Shamu).Luka 2:3Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa.