Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Talent: General references

4 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu General references

  1. Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120 za dhahabu.

  2. Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420 za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni.

  3. Naye akampa mfalme talanta 120 za dhahabu, kiasi kikubwa sana cha vikolezi na vito vya thamani. Haikuwahi kamwe kuletwa tena vikolezi vingi hivyo kuletwa kama vile malkia wa Sheba alivyompa Mfalme Solomoni.

  4. Uzito wa dhahabu ambayo Solomoni alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666,