Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Strangers in Israel: Might purchase Hebrew servants subject to release

2 mistari · 33 vipengele

Mistari kuhusu Might purchase Hebrew servants subject to release

  1. “ ‘Ikiwa mgeni au mkazi wa muda katikati yako atakuwa tajiri, na mmoja wa wazawa wa nchi yako akawa maskini, naye akajiuza kwa yule mgeni anayeishi katikati yako, au kwa mmoja wa jamaa wa koo za wageni,

  2. anayo haki ya kukombolewa baada ya kujiuza. Mmoja wa jamaa zake aweza kumkomboa: