Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Slander: Should give no occasion for

2 mistari · 71 vipengele

Mistari kuhusu Should give no occasion for

  1. Kuweni na mwenendo mzuri mbele ya watu wasiomjua Mungu, ili kama wanawasingizia kuwa watenda mabaya, wayaone matendo yenu mema nao wamtukuze Mungu siku atakapokuja kwetu.

  2. mkizitunza dhamiri zenu ziwe safi, ili wale wasemao mabaya dhidi ya mwenendo wenu mzuri katika Kristo waaibike kwa ajili ya masingizio yao.