Mistari ya Biblia kuhusu Slander: Bearing false witness
Mistari kuhusu Bearing false witness
Usimshuhudie jirani yako uongo.
Usimshuhudie jirani yako uongo.
Askari nao wakamuuliza, “Je, nasi inatupasa tufanye nini?” Akawaambia, “Msimdhulumu mtu wala msimshtaki mtu kwa uongo, bali mridhike na mishahara yenu.”