Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Sincerity: The wicked devoid of

2 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu The wicked devoid of

  1. Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika, mioyo yao imejaa maangamizi. Koo lao ni kaburi lililo wazi, kwa ndimi zao, wao hunena udanganyifu.

  2. Mazungumzo yake ni laini kama siagi, hata hivyo vita vimo moyoni mwake. Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, hata hivyo ni upanga mkali uliofutwa.