Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sincerity: Our love to one another

3 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Our love to one another

  1. Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.

  2. Basi kwa kuwa mmejitakasa nafsi zenu kwa kuitii ile kweli hata mkawa na upendo wa ndugu usio na unafiki, basi pendaneni kwa dhati kutoka moyoni.

  3. Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.