Mistari ya Biblia kuhusu Silver: (Dross of,) of the wicked
Mistari kuhusu (Dross of,) of the wicked
Fedha yenu imekuwa takataka, divai yenu nzuri imechanganywa na maji.
“Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa kwangu takataka ya chuma, wote kwangu wamekuwa shaba, bati, chuma na risasi iliyoachwa kalibuni. Wao ni taka ya madini ya fedha tu.