Mistari ya Biblia kuhusu Shebaniah: 1. A priest in the time of David
Mistari kuhusu 1. A priest in the time of David
Shebania, Yoshafati, Nethaneli, Amasai, Zekaria, Benaya na Eliezeri, makuhani, walikuwa wapiga tarumbeta mbele ya Sanduku la Mungu. Obed-Edomu na Yehiya waliwekwa pia kuwa mabawabu wa Sanduku.