Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Shame: Jesus ashamed of those who deny him

2 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Jesus ashamed of those who deny him

  1. Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu wakati atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”

  2. Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu.