Mistari ya Biblia kuhusu Segub: 2. Grandson of Judah
Mistari kuhusu 2. Grandson of Judah
Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano.
Wana wa Peresi walikuwa: Hesroni na Hamuli.
Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu.
Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.