Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Seba: 2. A region in Ethiopia

2 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 2. A region in Ethiopia

  1. Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali watamletea kodi; wafalme wa Sheba na Seba watampa zawadi.

  2. Kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, Kushi na Seba badala yako.