Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Scribe: Instructors in the law

5 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu Instructors in the law

  1. kwa sababu alifundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wao wa sheria.

  2. Akawaambia, “Basi kila mwalimu wa sheria aliyefundishwa elimu ya Ufalme wa Mbinguni ni kama mwenye nyumba anayetoa kutoka ghala yake mali mpya na mali ya zamani.”

  3. Wale wanafunzi wakamuuliza, “Kwa nini basi walimu wa sheria husema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?”

  4. “Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose,

  5. hivyo inawapasa kuwatii na kufanya kila kitu wanachowaambia. Lakini msifuate yale wanayotenda, kwa sababu hawatendi yale wanayohubiri.