Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sackcloth: By persons in affliction

3 mistari · 21 vipengele

Mistari kuhusu By persons in affliction

  1. Katika siku ya ishirini na nne ya mwezi ule ule, Waisraeli walikusanyika pamoja, wakifunga na kuvaa nguo za gunia na kujitia mavumbi vichwani mwao.

  2. Ninapovaa nguo ya gunia, watu hunidharau.

  3. Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu, wakatangaza kufunga, watu wote kuanzia mkubwa sana hadi yule mdogo kabisa, wakavaa nguo za gunia.