Mistari ya Biblia kuhusu Righteousness Imputed: Glory in having
Mistari kuhusu Glory in having
Watasema kuhusu mimi, ‘Katika Bwana peke yake ndiko kuna haki na nguvu.’ ” Wote ambao wamemkasirikia Mungu watamjia yeye, nao watatahayarika.
Lakini katika Bwana wazao wote wa Israeli wataonekana wenye haki na watashangilia.