Mistari ya Biblia kuhusu Righteousness Imputed: Abraham
Mistari kuhusu Abraham
Je, huku kubarikiwa ni kwa wale waliotahiriwa peke yao, au pia na kwa wale wasiotahiriwa? Tunasema, “Imani ya Abrahamu ilihesabiwa kwake kuwa haki.”
Hii ndio sababu, “ilihesabiwa kwake kuwa haki.”
Kama vile “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”