Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Reconciliation With God: Union of things in heaven and earth

2 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu Union of things in heaven and earth

  1. ili yapate kutimizwa wakati mkamilifu utakapowadia, yaani, kuvitia vitu vyote vya mbinguni na vya duniani pamoja, chini ya kiongozi mmoja, ndiye Kristo.

  2. na kwa njia yake aweze kuvipatanisha vitu vyote na yeye mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake, iliyomwagika msalabani.