Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Reconciliation With God: By the blood of Christ

2 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu By the blood of Christ

  1. Lakini sasa katika Kristo Yesu, ninyi ambao hapo kwanza mlikuwa mbali na Mungu, sasa mmeletwa karibu kwa njia ya damu ya Kristo.

  2. na kwa njia yake aweze kuvipatanisha vitu vyote na yeye mwenyewe, viwe ni vitu vilivyo duniani au vilivyo mbinguni, kwa kufanya amani kwa damu yake, iliyomwagika msalabani.