Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Reconciliation With God: Access to God

2 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu Access to God

  1. ambaye kwa kupitia kwake tumepata kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo ndani yake sasa tunasimama, nasi twafurahia katika tumaini letu la kushiriki utukufu wa Mungu.

  2. Kwa maana kwa kupitia kwake, sisi sote tunaweza kumkaribia Baba katika Roho mmoja.